Wafahamu ″vloggers″ kutoka Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 27.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wafahamu "vloggers" kutoka Tanzania

Blogu za video zinaweza kuzungumzia mada moja kama vile urembo ama zinaweza kuwa na mada tofauti. Vijana Mchaka Mchaka imekutana na "vloggers" kufahamu faida na changamoto za wanachokifanya.

Sikiliza sauti 09:44

Vijana Mchaka Mchaka - Vloggers

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com