1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafahamu vijana wanaharakati wa mazingira Ghana

13 Mei 2022

Taka za plastiki zinatapakaa katika fukwe nyingi za Ghana. Plastiki hizo zinazoonekana ufukweni ni kutoka baharini. Mifereji ya maji pia husongwa na plastiki na kila aina ya taka na hewa iliyochafuliwa na uchomaji wa taka, na kusababisha tishio kwa mazingira.

https://p.dw.com/p/4BHNK