1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wademokrat kumchagua mgombea wa kupeperusha bendera

Lilian Mtono3 Machi 2020

Wapiga kura kwenye majimbo 14 nchini Marekani Jumanne wanamchagua mgombea atakayepeperusha bendera ya chama cha Democratic katika uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba katika kile kinachofahamika kama Super Tuesday au Jumanne Kabambe. Hali ikoje na kipi cha kutarajiwa?

https://p.dw.com/p/3YoSA