Wacongo waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi | Media Center | DW | 08.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wacongo waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi

Tazama vidio 01:18

Raia wa Congo wanaendelea kusubiri kwa shauku matokeo ya uchaguzi wa rais, baada ya tume ya uchaguzi CENI, kusema itachelewesha kutoa matokeo hayo hadi ikamilishe ukusanyaji wa kura zote inazopokea kutoka vituo vya kupigia kura. Kurunzi 08.01.2019