Wabunge na Maseneta Kenya wapigania posho na marupurupu | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wabunge na Maseneta Kenya wapigania posho na marupurupu

Wabunge na Maseneta nchini Kenya wameamua kwa kauli moja kupunguza bajeti ya wafanyakazi wa Tume inayosimamia mishahara ya wafanyakazi wa umma, baada ya Tume hiyo kukataa kuidhinisha marupurupu yao ya Euro 2000 kila mwezi. Viongozi hao wamesema watafika mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo. Wabunge wa Kenya ni baadhi ya wanaolipwa kiasi kikubwa cha fedha ulimwenguni. Shisia Wasilwa anaarifu

Sikiliza sauti 02:04