Waasi wa M23 wauteka mji wa Rutshuru,Mashariki mwa Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 17.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Waasi wa M23 wauteka mji wa Rutshuru,Mashariki mwa Kongo

Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ambako inasemekana kwamba Waasi wa M23 wameuteka tena mji na wilaya ya Rutshuru kutoka kwa majeshi ya serikali,tukio ambalo limethibitishwa na msemaji wa jeshi hilo.

Wakaazi wa Rutshuru wakimbilia Goma

Wakaazi wa Rutshuru wakimbilia Goma

Wakati huo huo,taarifa zinasema tayari raia wengi wameanza kuyahama makaazi yao na baadhi yao kukimbilia mjini Goma.

Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada