Vuguvugu la People na harakati za uchaguzi mkuu 2021 | Media Center | DW | 24.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vuguvugu la People na harakati za uchaguzi mkuu 2021

DW imezungumza na Asuman Basalirwa kiongozi wa vuguvugu la People Power Uganda, kuhusu harakati za vuguvugu hilo na changamoto wanazokabiliana nazo kuelekea uchaguzi mkuu mwakani, ambapo kiongozi wa vuguvugu hilo Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ametangaza kuwania.

Sikiliza sauti 09:49