1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Volkswagen

Volkswagen ni kampuni ya utengenezaji magari ya Ujerumani yenye makao yake makuu mjini Wolfsburg, katika jimbo la Lower Saxony.

Neno Volkswagen linamaanisha “Gari la watu” katika lugha ya Kijerumani. Kampuni hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 1937 na ndiyo inaongoza kwa mauzo ya magari duniani. Volkwagen ina matawi katika mataifa makubwa duniani ikiwemo Marekani na magari yake maarufu zaidi ni pamoja na Volkswagen Golf, Volks Wagen Beetle, na Volkwagen Passat. Kampuni hiyo ndiyo mtengenezaji pia wa Audi, Posche, na mengine.

Onesha makala zaidi