Viwango vya maji ya Maporomoko ya Viktoria vyapungua | Media Center | DW | 05.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Viwango vya maji ya Maporomoko ya Viktoria vyapungua

Maji ya Maporomoko ya Viktoria yamepungua hadi viwango vya chini zaidi katika kipindi cha miaka 25. Wanaharakati wana wasiwasi kuwa mabadiliko ya tabianchi yanasababisha athari za kutisha kwenye maporomoko hayo ambayo ni maarufu ulimwenguni.

Tazama vidio 01:45