Viumbe wa porini wanakabiliwa na kitisho | Mada zote | DW | 26.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Viumbe wa porini wanakabiliwa na kitisho

Wakati baadhi ya viumbe wakikabiliwa na kitisho cha kutoweka kwa sababu ya ujangili, aina nyingine wameokolewa kutokana na jitihada za wataalamu wa wanyamapori . Mkutano wa wanyamapori utaamua hatma ya baadhi ya viumbe.