Vita vya dola na vyombo vya habari nchini Uganda | Matukio ya Afrika | DW | 21.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Vita vya dola na vyombo vya habari nchini Uganda

Polisi nchini Uganda bado wamezingira kwa siku ya pili ofisi za baadhi ya vyombo vya habari vikuu nchini Uganda.

Ofisi za magazeti ya daily Monitor, The Observer na Red Pepper pamoja na vituo viwili vya Redio vinavyomilikiwa na kampuni ya Nation vimezingirwa. Bruce Amani amezungumza na mkurugenzi wa taarifa zinazochapishwa na gazeti la Daily Monitor Joseph Odindo, na kwanza anaelezea jinsi hali ilivyo kwa sasa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: Bruce Amani

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada