1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita Kuu ya kwanza ya Dunia ilvyoibadili Afrika Mashariki

9 Novemba 2018

Vita Kuu ya kwanza ya Dunia ilipaganwa hasa katika bara la Ulaya, lakini Afrika ilitoa mchango mkubwa katika vita hiyo, ikipeleka wanajeshi kupigana kwa pande hasimu kulingana na mkoloni wa taifa husika. Hii leo wakati ulimwengu ukikumbuka miaka 100 tangu kumalizika kwa vita hiyo, tunaangalia namna vita hiyo ilivyounda mustakabali wa Afrika mashariki na ushirikiano wake na Ulaya.

https://p.dw.com/p/37yIq