1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya saratani ya matiti nchini Togo

6 Mei 2020

Saratani ya matiti ni tatizo linalowaathiri wanawake wengi wa Togo. Chama cha wanafunzi madaktari kimeanzisha mradi wa MLA Tour Rose, ili kuhamasisha wasichana katika shule za sekondari na kuwaelimisha kuhusu namna ya kubaini n ahata kuuzuia ugonjwa huo.

https://p.dw.com/p/3bqkn