Vita dhidi ya ndoa za utotoni Malawi | Media Center | DW | 30.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vita dhidi ya ndoa za utotoni Malawi

Fikiria, kuolewa katika umri mdogo wa miaka 12 ama 13? inashangaza! Lakini si Malawi ambayo imeendeleza utamaduni huo. Hivi sasa wanawake kama Enala Ngulu Gondwe wanapigana kuondolewa kwa ndoa hizo. aliolewa akiwa na miaka 13. Leo, ana miaka 39 na ameamua kupambana na ndoa za utotoni nchini mwake.

Tazama vidio 01:17
Sasa moja kwa moja
dakika (0)