Vipindi vya Learning by Ear-Noa Bongo! Jenga Maisha yako vinatayarishwa mjini Dar es Salaam,Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 30.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Vipindi vya Learning by Ear-Noa Bongo! Jenga Maisha yako vinatayarishwa mjini Dar es Salaam,Tanzania

Ujumbe wa idhaa ya Kiswahili ya radio Deutsche Welle uko mjini Dar Es Salaam hivi sasa , ambapo wanafanya kazi ya kurekodi vipindi vya tamthilia katika studio za radio Tumaini.

Ujumbe huo ni pamoja na mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya radio Deutsche Welle Andrea Schmidt na mtangazaji mwenzetu Josephat Charo.
Sekione Kitojo alizungumza na Josephat Charo hivi punde na kutaka kujua kazi inavyoendelea huko mjini Dar Es Salaam.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com