Viongozi wa upinzani Afrika waliojitangazia ushindi mapema | Mada zote | DW | 22.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Viongozi wa upinzani Afrika waliojitangazia ushindi mapema

Kuna historia ndefu ya wagombea wa upinzani Afrika ambao wamejitangaza kushinda katika uchaguzi. Wengi waliyapinga matokeo mahakamani, wakidai kwamba uchaguzi ulikuwa wa udanganyifu. Hawa hapa ni wachache tu.