Viongozi wa Uamsho wafikishwa Mahakamani Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 22.10.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Viongozi wa Uamsho wafikishwa Mahakamani Zanzibar

Kufuatia vurugu za siku nne mfululizo huko Zanzibar, hii leo Sheikh Farid pamoja na viongozi wenzake wanne wa kundi la uamsho wamefikishwa mahakamani kujibu mashataka ya kusababisha vurugu.

Baadhi ya viongozi wa Uamsho wafikishwa mahakamani

Baadhi ya viongozi wa Uamsho wafikishwa mahakamani

Ili kufahamu yaliyojiri Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said, ambaye yuko mahakamani hapo akifuatilia kwa ukaribu kesi hiyo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada