Vijana wapata mwamko wa kufanya mazoezi | Masuala ya Jamii | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Vijana wapata mwamko wa kufanya mazoezi

Mazoezi ya mwili yamepata mashabiki wengi. Vijana wanayapenda kwa ajili ya kupunguza uzito au kuongeza misuli. Vijana Mchaka Mchaka imewauliza watu mbali mbali kinachowasukuma kufanya mazoezi ya mwili.

Sikiliza sauti 09:45

Vijana Mchaka Mchaka na Amina Abubakar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com