1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wabunifu wa vifaa vya elektroniki mjini Bukavu

22 Septemba 2021

Vijana hawa wenye vipaji vya uvumbuzi mjini Bukavu,jimboni Kivu ya Kusini wamebuni vitu vidogo-vidogo vya elektroniki kama vile mfumo huu wa usalama wa nyumba, au pia mfumo wa kutaarifu moshi nyumbani. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/40ev6