1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke : Michezo wakati wa janga la Corona

Fathiya Omar / MMT2 Oktoba 2020

Fathiya Omar amezungumza na vijana kuhusu ushiriki wao kwenye michezo katika wakati wa janga la virusi vya corona ambalo kwa miezi kadhaa lililazimisha kufungwa kwa shule na vyuo katika mataifa kadhaa ya Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/3jKfK