1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na uongozi

Natalis Veronica30 Novemba 2021

Kipindi cha Vijana Tugutuke safari hii kinaangazia suala la uongozi miongoni mwa vijana. Je vijana wanashiriki uongozi katika nyanja mbalimbali?Changamoto zipi huwakabili katika uongozi? Katika kulijadili hayo na mengine mengi tunawashirikisha baadhi ya vijana walioshiriki kongamano la vijana kuhusu uongozi za nchi za Afrika Mashariki na Kati lililoandaliwa Arusha Tanzania.

https://p.dw.com/p/43efF