1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na matumbuizo ya Christmas

22 Desemba 2020

Licha ya kuwa mwaka 2020 umekuwa wenye changamoto nyingi msimu wa Krisimasi umewadia na waumini wengi wa Kikristo wanajiandaa kusherekea. Shamrashamra za kuukaribisha msimu huu pamoja na mwaka mpya zinahusisha maandalizi ya matumbuizo kama haya ya vijana na watoto kutoka jumuiya ya wasiobahatika katika jamii mtaa wa Nsambya mjini Kampala. Vidio na Lubega Emmanuel #kurunzi

https://p.dw.com/p/3n6ps