Vijana na kilimo cha Dijitali | Media Center | DW | 25.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vijana na kilimo cha Dijitali

Wakulima wa Ghana hivi sasa wanatumia App mpya inayowasaidia kuuza mazao yao na kulipwa kwa haraka sana. Inawaunganisha na watu sahihi na hivyo kuzuia mazao kuharibika.Je teknolojia imebadili maisha yako kwa namna yoyote?

Tazama vidio 01:22