1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na kazi ya uchomaji vyuma Bujumbura

Amida Issa mmt12 Aprili 2021

Uchomaji vyuma ni miongoni mwa kazi ambazo vijana wengi hufanya. Je unafahamu nini kuhusu kazi hii? Changamoto, athari pamoja na manufaa ya kazi hiyo ni yapi? Na je ni kwa nini idadi ya wasichana wanaofanya kazi hiyo ni wachache? Amida hisa anawashirikisha baadhi ya vijana kutoka Bujumbura kutafutia maswali hayo na mengine majibu.

https://p.dw.com/p/3rs4x