1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na fursa za ajira katika jumuiya ya SADC

Sylvia Mwehozi
26 Julai 2019

Je vijana wa Tanzania wamejiandaa vipi kutafuta fursa za ajira zinazojitokeza katika nchi za Jumuiya ya SADC?Vijana wanazungumza na Hawa Bihoga katika makala ya Vijana Tugutuke, bonyeza hapo chini kusikiliza zaidi sauti ya makala hiyo.

https://p.dw.com/p/3MlSb