Vijana Mchakamchaka: Wajane wa Kombe la Dunia | Masuala ya Jamii | DW | 17.06.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Vijana Mchakamchaka: Wajane wa Kombe la Dunia

Ushawahi kusikia kuhusu "Wajane wa Kombe la Dunia" ? Ni vipi wewe kama mume unavyoweka uwiano kati ya ushabiki wa kandanda na majukumu ya ndoa au familia?

Sikiliza sauti 09:45

Kombe la Dunia linaendelea Brazil. Kwa wale wasioweza kusafiri kuangalia michuano 'live' uwanjani, watapata uhondo 'live' kwenye redio na TV. Lakini sasa, kuna baadhi ya wanawake ambao wanalalamika kuwa wakati huu mambo yao nyumbani hayawaendei vyema kwa sababu ya mpira. Wanadai wao sasa ni kama 'wajane'. Katika Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anauliza kama kuna 'Wajane wa Kombe la Dunia' na ni vipi unavyokabiliana na hali hiyo nyumbani kwako......wewe huficha remote control? Kuna sheria zozote ulizotunga nyumbani kwako wakati huu wa Kombe la Dunia?

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com