1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uvutaji shisha: Ni uraibu usio na madhara au dawa zenye hatari?

Sylvia Mwehozi
11 Septemba 2018

Kuna dhana ambayo imejengeka kwamba uvutaji shisha hauna madhara lakini wataalamu wa kiafya wanasema wavutaji shisha wapo katika hatari kubwa. Hatari hiyo ni pamoja na magonjwa ya saratani na magonjwa ya kuambukiza. Vijana Mubashara.

https://p.dw.com/p/34gp7