Utunzaji mazingira katika msitu wa Kaya Kauma | Media Center | DW | 06.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Utunzaji mazingira katika msitu wa Kaya Kauma

Huku viwango vya joto vikizidi kuongezeka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kiasi cha ardhi ya ekari milioni 350 inahitajika kupandwa miti sawa na kutunzwa kwa misitu. Misitu inasaidia kuinyonya hewa kaa inayosababisha ongezeko la joto na kuathiri binadamu na wanyama, karibu katika Makala ya Mtu na Mazingira leo tukiangazia msitu wa Kaya Kauma katika Utunzaji wa Mazingira, na Faiz Musa.

Sikiliza sauti 09:47