Utulivu waanza kurejea Tana River | Matukio ya Afrika | DW | 24.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Utulivu waanza kurejea Tana River

Hali ya utulivu imeanza kurejea taratibu katika eneo la Tana River katika ukanda wa Pwani wa Kenya baada ya tukio la mauwaji ya zaidi ya watu 40 katika mapigano ya kikabila kati ya Waorma na Wapokomo yalitokea.

Wanajeshi wakiendesha operesheni za usalama katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa Kenya

Wanajeshi wakiendesha operesheni za usalama katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa Kenya.

Mapigano hayo yalitokea Ijumaa iliyopita, na yanafuatia mengine yaliyotokea mwezi Septemba mwaka huu. Kutoka katika eneo hilo Sudi Mnette wa DW amezungumza na mmoja kati ya waratibu wa shughuli za uokozi kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Hassan Musa.

Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada