Utandawazi – Kipindi 3 – Miji Inayopanuka25.05.201125 Mei 2011Miji imefurika kwa sababu watu wengi wanayahama mashamba yao kutokana na ukosefu wa nafasi za kujiendeleza. Miundombinu mijini haitoshi, hivyo kusababisha kuchipuka kwa maeneo ya madongo poromoka. Tunaelekea Nigeria.https://p.dw.com/p/RHfhMatangazo