1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni wa nyimbo katika kilimo

VERONICA NATALIS12 Novemba 2018

Kwa jamii nyingi za wakulima, msimu wa mvua hufungua milango kufanya shughuli mbalimbali za kilimo. Ndivyo hali huwa kwa wakulima wa Shinyanga nchini Tanzania, ila kuna kitu spesheli kwa Wakulima wa jamii ya Wasukuma nchini Tanzania. Makala ya Utamaduni na Sanaa inaangazia namna burudani ya ngoma na zeze inatumika katika kilimo. Mtayarishaji na msimulizi wa Makala ni Veronica Natalis

https://p.dw.com/p/386ZX