1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniAfrika

Utamaduni wa kuzungumza na mtoto tumboni

Hawa Bihoga
7 Oktoba 2021

Je, unajua kwamba unaweza kuzungumza na mtoto wako alie tumboni na akakuelewa? Katika makala ya Utamaduni na Sanaa, Hawa Bihoga anaangazia utamaduni huu ambao kwa watu wengi bado ni mgeni kabisaa, lakini aambao wataalamu wanasema ni muhimu ili kumjenga mtoto akiwa bado angali tumboni.

https://p.dw.com/p/41Nae