1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni wa kumuandaa binti wa Kimasai

24 Juni 2020

Katika kijiji cha Esilaley wilayani monduli Tanzania, wenyeji katika eneo hili ni jamii ya wamasaai kwa takriban asilimia tisini. Wamaasi humuandaa msichana punde tu anapoona siku zake kwa mara ya kwanza. Hii ikiwa na maana anaingia katika hali ya utu uzima, fuatilia zaidi mila hiyo. #Kurunziwanawake 24.06.2020.

https://p.dw.com/p/3eHvG