1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni na lugha vina mahusiano gani? Kiswahili kinawenyewe kitakupa majibu ya hilo kwenye karibuni

29 Januari 2020

Burudani la Karibuni linakuletea kiswahili kina wenyewe ambapo mtaalamu wa Kiswahili anaelezea mafungamano ya Lugha na Utamaduni kwa namna mbali mbali,lakini pia mgeni wa wiki mara hii anatokea Bremen hapa Ujerumani nae ana mengi ya kusimulia kuhusu matatizo ya kuwa na mahusiano na mtu anaishi nchi ya mbali na ulipo. Ungana na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3Wxfp