Utalii wa jua kutuwa katika kisiwa cha Unguja. | Media Center | DW | 03.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Utalii wa jua kutuwa katika kisiwa cha Unguja.

Eneo la kitalii la Kae Beach liko kandoni mwa mwambao wa mashariki ya kusini mwa kisiwa cha Unguja. Watalii hukusanyika kila jioni kutoka kila kona ya kisiwa hicho ili kujionea raha na muonekano wa namna sayari ya jua inavvotoweka kwenye uso wa dunia. Ni aina nyingine ipi ya ubunifu wa kimazingira unaoweza kutumia kujipatia ajira na mapato? Kurunzi 3.12.2019. Video imetayarishwa na Ahmad Juma.

Tazama vidio 01:57