1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi wa Joe Biden una maana kwa demokrasia ulimwenguni?

Mohammed Khelef
13 Novemba 2020

Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara leo kinapiga darubini hali ya kidemokrasia nchini Marekani. Rais Donald Trump anaonekana kutoridhia kushindwa kwake na Joe Biden licha ya maafisa wa serikali za majimbo kusema hawana ushahidi wowote wa udanganyifu katika uchaguzi wa rais. Wachambuzi wanazungumziaje hali ya demokrasia nchini Marekani? Mohamed Khelef anaongoza mjadala leo.

https://p.dw.com/p/3lGzu