Ushairi na Mashairi pamoja na changamoto zake | Masuala ya Jamii | DW | 01.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Ushairi na Mashairi pamoja na changamoto zake

Idadi ya mashairi ya Kiswahili yanayochapishwa yanazidi kupungua. Malenga wa mashairi ya arudhi pia wamepungua. Changamoto zinazokumba fani hii ni zipi? John Juma anashirikisha wataalamu kuelezea hali inayokumba mashairi

Ili kusikiliza, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com