Moja ya mambo ambayo yanawagonganisha wataalamu wa lugha ya Kiswahili ni dhana ya Kiswahili Sanifu, na suali linaloulizwa ni ikiwa kweli kuna Kiswahili Sanifu na au inawezekana kukawa kweli kukawa na usanifu wa lugha.
https://p.dw.com/p/1BXpy
Matangazo
Katika sehemu hii ya makala ya Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na wataalamu wa lugha ya Kiswahili, Dk. Said Ahmed Mohamed, Abdilatif Abdullah, Reginald Temu na Assibi Amidou juu ya dhana ya Kiswahili Sanifu.