Usalama waimarishwa katika majengo ya bunge Marekani
Hali ya usalama imeimarishwa katika majengo ya bunge mjini Washington, Marekani baada ya kitisho cha maandamano yaliyopangwa kufanywa na wafuasi wa Rais Donald Trump wikendi hii.
Tazama vidio01:37
Shirikisha wengine
Usalama waimarishwa katika majengo ya bunge Marekani