Usalama wa mitandao - Namna ya kuepuka wizi na udukuzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Usalama wa mitandao - Namna ya kuepuka wizi na udukuzi

Utapeli wa mitandaoni ni tatizo linaloikumba dunia kwa kasi kubwa pamoja na kwamba nchi nyingi zimetunga sheria za kupambana na uhalifu wa mtandaoni. Katika makala hii ya Sema Uvume, Sylvia Mwehozi anaangazia njia zinazotumiwa zaidi na wahalifu wa mitandao na namna nzuri ya kujiepusha na wizi huo.

Sikiliza sauti 09:45