Uraibu wa michezo ya elektroniki na kamari | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Uraibu wa michezo ya elektroniki na kamari

Watu wengi duniani wanajihusisha na michezo ya video kwa njia za kielektroniki, michezo ya kubashiri na Kamari, michezo inabainishwa kusababisha uraibu mkubwa kwa yule anayecheza. Je kuna madhara gani ya kiafya kwa mtu aliye na uraibu wa michezo hiyo? Slyvia Mwehozi anaangazia hilo katika makala ya Afya Yako

Sikiliza sauti 09:44