Upinzani Uganda na harakati za kumng´oa rais Museveni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Upinzani Uganda na harakati za kumng´oa rais Museveni

Makala Yetu Leo inatokea nchini Uganda na mwandishi wetu Lubega Emmanuel anaangazia juhudi za upinzani nchini humo za kuunganisha nguvu na kuwa na mgombea mmoja wa kiti cha urais kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 ili kumuondoa madarakani rais wa muda mrefu Yoweri Museveni. Wamejipanga vipi? Fuatilia.

Sikiliza sauti 09:47