Upinzani Tanzania walalamikia zoezi la Uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Upinzani Tanzania walalamikia zoezi la Uchaguzi

Chama cha kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chalalamikia zoezi la uchaguzi mkuu nchini humo, baada ya kujitokeza mambo kadhaa likiwemo la kuchelewesha kwa karatasi za kupigia kura katika baadhi ya maeneo.

Sikiliza sauti 02:45

Sikiliza mahojiano ya Mohammed Abdulrahman na Tumaini Makene

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com