Upigaji kura mkoani Mtwara | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Upigaji kura mkoani Mtwara

Huduma nyingi za kijamii mkoani Mtwara zimesita na kupelekea watu kukosa mahitaji muhimu katika wilaya ya Mtwara mikindani hasa standi kuu, soko kuu eneo maarufu bima na eneo la uwanja wa umoja.

Sikiliza sauti 03:16

Msikilize mwandishi wetu wa Mtwara Salma Mkalibala kwa habari zaidi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com