1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upangaji uzazi miongoni mwa jamii ya Wapokot Kenya

Sophia Nyevu Chinyezi/MM T11 Oktoba 2018

Makala ya Utamaduni na Sanaa, inaangazia mbinu ya kitamaduni inayotumiwa na jamii ya Pokot nchini Kenya, kupanga uzazi. Licha ya dunia kupiga hatua zaidi na watu wengi kutumia mbinu za kisayansi, kwa jamii hii, wanashikilia mbinu yao ya kitamaduni. Sophia Chinyezi anaangazia zaidi kuhusu mbinu hiyo.

https://p.dw.com/p/36Lmz