Upande wa Rais Nkurunziza wachukua uongozi wa mapema katika kura ya maoni | Mada zote | DW | 18.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upande wa Rais Nkurunziza wachukua uongozi wa mapema katika kura ya maoni

Upande wa 'Ndio' unaokubali katiba ya Burundi kufanyiwa marekebisho na unaoungwa mkono na Rais Nkurunziza umechukua uongozi w amapema katika kura ya maoni. Upande wa Ndio umetwaa ushindi katika mikoa mingi ya nchi hiyo. Mabadiliko ya katiba yatamwezesha Rais Nkurunziza kuongoza kwa miaka mingine 16

Tazama vidio 01:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)