Uokozi wa rasilmali ya maji katika ziwa Nakuru | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Uokozi wa rasilmali ya maji katika ziwa Nakuru

Maziwa na mito mbalimbali inaendelea kuathirika kutokana na uchafuzi na changamoto nyinginezo za kimazingira. Katika makala ya Mtu na Mazingira, Wakio Mbogo anaangazia juhudi za kuokoa pwani ya za maziwa ya Baringo, Bogoria, 94, Nakuru, Elementaita na Naivasha ambazo zinapoteza taswira zao nzuri, kutokana na changamoto ya kimazingira inayotishia makaazi pamoja na mazingira.

Sikiliza sauti 09:47