Unyanyapaa dhidi ya walemavu wa ngozi ungalipo | Media Center | DW | 14.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Unyanyapaa dhidi ya walemavu wa ngozi ungalipo

Dunia wiki hii imeadhimisha siku ya kuwahamasisha watu kuhusiana na ulemavu wa ngozi kwani ubaguzi dhidi ya walemavu hao ungalipo. Vile vile imani potofu za kishirikina kuhusu uwezo wa sehemu za watu hao kutibu magonjwa na hata kuleta utajiri zimewatia hatarini.

Tazama vidio 01:21
Sasa moja kwa moja
dakika (0)