Maandamano ya kupinga mapinduzi ya kijeshi yaendelea Sudan, Ethiopia yaituhumu Marekani kusambaza habari za uwongo kuhusu hali ya usalama ikionya habari kama hizo huenda zikatia doa uhusiano wa mataifa hayo mawili na lugha ya kiswahili yatukuzwa na kutambuliwa kwa kutengewa siku maalum ya kuadhimishwa.