1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaweza kuwa rafiki na mzazi wako mtandaoni?

Babu Abdalla1 Aprili 2021

Ni kitu cha kawaida kuona wazazi na watoto wakiwa kwenye mitandao ya kijamii kama Instagrma au Facebook. Sasa unapokuwa kwenye moja ya mitandao hiyo unaweza kuwa na urafiki na mzazi wako? Sikiliza makala hii ya Vijana Mchakamchaka, kisha niachie maoni yako.

https://p.dw.com/p/3rTBh